Tuesday, November 17, 2015

HAPO VIP ETI

Kikao cha Kamati ya wabunge wa CCM kilichofanyika usiku huu katika ukumbi wa NEC maarufu kama Whitehouse kimempitisha Dkt Tulia Ackson Mwansasu kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi katika nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamati ya Uongozi ilipitisha majina matatu ya Mhe Bahati Abeid, Mhe Mariam Kisangi na Dkt Tulia Ackson Mwansasu ambapo Dkt Tulia aliibuka mshindi baada ya wawili kujitoa na kumuunga mkono Dr Tulia.

No comments:

Post a Comment