SOMA HAPA SAFARI NZIMA YA MAISHA YA MAREHEMU MCH.MTIKILA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini. Mtikila alizaliwa mwaka 1950 mkoani Iringa, kusini mwa nchi yetu. (Kwa bahati mbaya, hadi nachapisha uchambuzi huu sikupata taarifa za elimu yake) kwani hakuwa mwepesi kutoa ushirikiano mwezi mmoja uliopita alisafiri kwenda nje ya nchi na kurejea wakati nikiwa katika hatua za mwisho za uhariri. Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi...
You might also like:
No comments:
Post a Comment